Becca (mwimbaji)
Mandhari
(Elekezwa kutoka Becca (Muimbaji wa Ghana))
| Rebecca Akosua Acheampomaa | |
Rebecca Akosua Acheampomaa | |
| Amezaliwa | 15 Agosti 1984 Ghana |
|---|---|
| Kazi yake | Mtunzi na Mwimbaji |
Rebecca Akosua Acheampomaa Acheampong (maarufu kama Becca; alizaliwa 15 Agosti, 1984)[1][2] ni mwimbaji, mtunzi wa nyimbo na mwigizaji wa nchini Ghana.
Alianza kutambuliwa aliposhiriki msimu wa pili wa mashindano ya uimbaji yanayofanyika kila mwaka nchini Ghana na kuonyeshwa mubashara katika chaneli ya televisheni ya TV3 Ghana.
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ "Becca Biography". Peacefmonline.com. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 30 Juni 2016. Iliwekwa mnamo 17 Juni 2014.
{{cite web}}: More than one of|archivedate=na|archive-date=specified (help); More than one of|archiveurl=na|archive-url=specified (help)CS1 maint: date auto-translated (link) - ↑ "Becca releases "Sugar" album". Daily Guide. 27 Agosti 2007. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 3 Desemba 2013. Iliwekwa mnamo 6 Julai 2014.
{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
| Makala hii kuhusu mwanamuziki fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Becca (mwimbaji) kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |