Beaufort West

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Sehemu ya Mji wa Beaufort West



Beaufort West
Beaufort West is located in Afrika Kusini
Beaufort West
Beaufort West

Mahali pa mji wa Beaufort West katika Afrika Kusini

Majiranukta: 32°21′0″S 22°34′12″E / 32.35000°S 22.57000°E / -32.35000; 22.57000
Nchi Afrika Kusini
Majimbo Rasi ya Magharibi
Idadi ya wakazi
 - Wakazi kwa ujumla 34,737
Tovuti:  http://www.beaufortwestsa.co.za/

Beaufort West ni mji wa Afrika Kusini katika jimbo la Rasi ya Magharibi. Kwa mujibu wa sensa iliyofanyika mnamo mwaka wa 2001, mji una wakazi wapatao 37,000 wanaoishi katika mji huu. Mji upo m 851 kutoka juu ya usawa wa bahari. Eneo lake ni 16.33 km².

Makala hii kuhusu maeneo ya Afrika Kusini bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Beaufort West kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.


WikiMedia Commons
WikiMedia Commons
Wikimedia Commons ina media kuhusu: