Beatrice Nkatha
Mandhari
Beatrice Nkatha Nyaga (Desemba 1957 – 17 Oktoba 2024) alikuwa mwanasiasa wa Kenya kutoka Chama cha Jubilee.[1]
Nkatha alikuwa Mwakilishi wa Wanawake katika Bunge la Kenya kuanzia mwaka 2013 hadi 2022.Mwaka 2023 Nkatha aliteuliwa kuwa Katibu Mkuu wa Utawala katika Wizara ya Hazina ya Taifa.[2] Nkatha alifariki dunia tarehe 17 Oktoba 2024 akiwa na umri wa miaka 66.[3]
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ https://nation.africa/kenya/news/former-mps-opore-and-nkatha-dead--4797574
- ↑ https://www.kenyans.co.ke/news/105465-former-tharaka-nithi-woman-rep-beatrice-nkatha-passes-away
- ↑ https://thekenyatimes.com/breaking-news/two-former-members-of-parliament-confirmed-dead/
| Makala hii kuhusu mwanasiasa huyo wa Kenya bado ni mbegu. Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |