Bea Arthur

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Arthur kama Maude Findlay mnamo 1973
Arthur kama Maude Findlay mnamo 1973

Beatrice Arthur (jina la kuzaliwa Bernice Frankel; Mei 13, 1922Aprili 25, 2009) alikuwa mwigizaji, mchekeshaji, mwimbaji, na mwanaharakati wa Marekani.

Arthur alianza taaluma yake jukwaani mwaka 1947. Alishinda tuzo mbalimbali kama vile mnamo mwaka 1966 alishinda tuzo ya Tony Award for Best Featured Actress in a Musical baada ya kucheza Vera Charles katika muziki wa Mame. Aliendelea kucheza Maude Findlay kwenye sitcom ya All in the Family na kuonekana 1971-1972.[1]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

Biofilm.png Makala hii kuhusu mwigizaji filamu fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Bea Arthur kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.