Nenda kwa yaliyomo

Bayume Mohamed Husen

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Bayume Mohamed Husen

Bayume Mohamed Husen (anajulikana kama Mahjub bin Adam Mohamed; 22 Februari 190424 Novemba 1944) alikuwa mwanajeshi wa Kiafro-Ujerumani, mwigizaji na mwathirika wa mateso ya Wanazi.

Maisha ya awali

[hariri | hariri chanzo]

Husen alizaliwa Dar es Salaam, wakati huo sehemu ya Afrika ya Mashariki ya Kijerumani, kama mtoto wa askari aliyekuwa na cheo cha juu (Effendi). Husen kabla ya Vita vya Kwanza vya Dunia, tayari alikuwa amejifunza Kijerumani na alifanya kazi kama karani katika kiwanda cha nguo huko Lindi. Vita vilipozuka mwaka wa 1914, Husen na baba yake walijiunga na Schutztruppe na kushiriki katika kampeni ya Afrika Mashariki dhidi ya majeshi ya Muungano.[1]

  1. "Tod eines "treuen Askari" im KZ Sachsenhausen" (kwa German). Deutschlandfunk. Iliwekwa mnamo 16 Novemba 2014.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link) CS1 maint: unrecognized language (link)
Makala hii kuhusu mwigizaji filamu fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Bayume Mohamed Husen kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.