Nenda kwa yaliyomo

Bayamón, Puerto Rico

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Bayamon ni mji wa pili kwa ukubwa huko Puerto Rico ambayo ni eneo maalum la Marekani kwenye kisiwa hicho cha Karibi.

Idadi ya wakazi ni 185,187 (2020).

Tazama pia

[hariri | hariri chanzo]
Makala hii kuhusu maeneo ya Bahari ya Karibi bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Bayamón, Puerto Rico kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.