Nenda kwa yaliyomo

Battista de' Canonici

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Battista de' Canonici (alifariki 1510) alikuwa profesa wa sheria katika Chuo Kikuu cha Bologna na askofu wa Kanisa Katoliki aliyekuwa Askofu wa Faenza kuanzia mwaka 1478 hadi 1510.

Battista di Francesco de' Canonici alizaliwa Bologna. Alipadrishwa ingawa muda na mazingira ya upadrisho wake hayajulikani. Inasemekana alikuwa mwanachama wa Shirika la Mtakatifu Benedikto. [1][2]

  1. Eubel, Konrad (1914). Hierarchia catholica medii et recentioris aevi. Juz. la II (tol. la second). Münster: Libreria Regensbergiana. ku. 152. (in Latin)
  2. "Bishop Battista de' Canonici, O.S.B." Catholic-Hierarchy.org. David M. Cheney. Retrieved June 8, 2017. [self-published source]
Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.