Nenda kwa yaliyomo

Batizio

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Batizio karibu na kanisa kuu la Roma huko Laterano.

Batizio ni mahali pa kuadhimishia sakramenti ya ubatizo katika dini ya Ukristo.

Panaweza kupatikana ndani ya kanisa au karibu nalo.

Uzuri wake unaonyesha jinsi waamini walivyojali hatua hiyo ya maisha ya kiroho.

Makala hii kuhusu dini ya Ukristo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Batizio kama historia yake, matokeo au athari zake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.