Basilea Amoa-Tetteh
Mandhari
Basilea Amoa-Tetteh (alizaliwa 7 Machi 1984) ni mchezaji wa mpira wa miguu wa kimataifa wa wanawake kutoka nchini Ghana anayecheza nafasi ya mshambuliaji.
Ni miongoni mwa wanachama wa timu ya taifa ya wanawake ya Ghana. Alikuwa sehemu ya kikosi cha timu hiyo katika Kombe la Dunia la FIFA la wanawake mnamo mwaka 2003.[1]
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ "FIFA Women's World Cup USA 2003 - Technical Report" (PDF). FIFA Women's World Cup United States 2003. FIFA. 2003. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo (PDF) mnamo Desemba 26, 2011. Iliwekwa mnamo 2007-09-28.
{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
| Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Basilea Amoa-Tetteh kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |