Basila wa Roma

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
(Elekezwa kutoka Basila)

Basila wa Roma (alifariki Roma, 304 hivi) alikuwa msichana wa Roma ya Kale aliyeuawa kwa ajili ya imani yake katika dhuluma ya kaisari Dioklesyano[1].

Tangu kale anaheshimiwa na Wakatoliki na Waorthodoksi kama mtakatifu bikira na mfiadini.

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 22 Septemba[2].

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]

Tanbihi[hariri | hariri chanzo]

Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.