Nenda kwa yaliyomo

Barua ya Barnaba

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Codex Sinaiticus ikiwa na Barua ya Barnaba chini ya kichwa ΒΑΡΝΑΒΑ ΕΠΙΣΤΟΛΗ, kuanzia Quire 91, folio 2r, col. 2.[1]

Barua ya Barnaba (kwa Kigiriki: Βαρναβᾶ Ἐπιστολή) ni waraka wa Kikristo ulioandikwa kwa Kigiriki kati ya miaka 70 na 135 BK[2][3][4]. Inapatikana nzima katika Codex Sinaiticus, ambamo imepangwa mwishoni mwa Agano Jipya, baada ya Kitabu cha Ufunuo na kabla ya Mchungaji cha Herma. Nafasi hiyo inathibitishwa kuwa baadhi waliona ni kitabu cha Biblia ya Kikristo[5], lakini baadhi walikataa [6]. Hatimaye msimamo huo wa pili ulishinda hivi kwamba kitabu kinahesabiwa tu kati ya Mababu wa Kitume.

Wataalamu karibu wote leo wanakanusha kwamba mwandishi wake ni kweli Mtume Barnaba na wengi wanadhani iliandikwa Aleksandria, Misri[7][8].

  1. Reproduction of Codex Sinaiticus with GO TO (Barnabas).
  2. Fowler, Kimberley (2016-06-07). "Epistle of Barnabas 16.1-5". www.judaism-and-rome.org (kwa Kiingereza). Iliwekwa mnamo 2024-11-14.
  3.  Chisholm, Hugh, mhr. (1911). "Barnabas" . Encyclopædia Britannica. Juz. la 03 (tol. la 11th). Cambridge University Press. {{cite encyclopedia}}: Cite has empty unknown parameter: |coauthors= (help)
  4. "Biblical literature – Hermeneutics, Interpretation, Exegesis". www.britannica.com (kwa Kiingereza). Britannica. Iliwekwa mnamo 2024-11-14.
  5. Lookadoo, The Epistle of Barnabas: A Commentary, 11.
  6. J. B. Burger, "L'Enigme de Barnabas," pp. 180–193; and Simon Tugwell [Kigezo:Separated entries], The Apostolic Fathers, p. 44; et al.
  7. Johannes Quasten, Patrology (Christian Classics) vol. 1, p. 89.
  8. Aune (2003), p. 72.
  • L. W. Barnard, "The 'Epistle of Barnabas' and Its Contemporary Setting" In Wolfgang Haase and Hildegard Temporini (eds.), Aufstieg und Niedergang der römischen Welt, . Vol. 27.1, Berlin, Germany, Walter de Gruyter, 1993, pp. 159–207.
  • Jonathon Lookadoo, The Epistle of Barnabas: A Commentary, Eugene, Oregon, Cascade, 2022.

Viungo vya nje

[hariri | hariri chanzo]
Makala hii kuhusu kitabu fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Barua ya Barnaba kama Mwandishi wake, hadithi au matoleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.