Nenda kwa yaliyomo

Barua kwa Diogneto

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Undani wa Koloseo, uwanja wa michezo wa Roma ya Kale, ambamo Wakristo wengi waliuawa katika dhuluma ya Dola la Roma dhidi yao. Mchoro wa mwaka 1832.

Barua kwa Diogneto (kwa Kigiriki: Πρὸς Διόγνητον Ἐπιστολή) ni maandishi ya Kikristo ya karne ya 2[1][2] yenye lengo la kueleza na kutetea imani hiyo mpya, kwanza kwa Mpagani Diogneto aliyemuuliza mwandishi maswali yafuatayo:

  1. Mungu wa Wakristo ni yupi?
  2. Ikoje dini yao inayowawezesha kupuuzia kabisa dunia na kifo?
  3. Inatofautiana vipi na dini ya Wagiriki na ile ya Wayahudi?
  4. Ikiwa ndiyo dini ya kweli, imekuwaje ilichelewa hivi kupatikana ulimwenguni?

Wengi wanasifu ufasaha na usanii wa hoja za majibu.

Tazama pia

[hariri | hariri chanzo]
  1. Richardson, Cyril C. (1953), Early Christian Fathers, ku. 206–10.
  2. Norris, Richard A Jr (2004), "The Apologists", katika Young, Frances; Ayres, Lewis; Louth, Andrew (whr.), The Cambridge History of Early Christian Literature, uk. 43.
  • Crowe, Brandon D. 2011 "O Sweet Exchange! The Soteriological Significance of the Incarnation in the Epistle to Diognetus". Zeitschrift für die neutestamentliche Wissenschaft und die Kunde der älteren Kirche 102, no. 1: 96–109.
  • Foster, Paul 2007. "The Epistle to Diognetus". Expository Times 118, no. 4: 162–68.
  • Jefford, Clayton N. 2013 The Epistle to Diognetus (with Fragments of Quadratus): Introduction, Text and Commentary. Oxford Apostolic Fathers series. Oxford: Oxford University Press. ISBN 978-0-19921274-3
  • Lienhard, Joseph T. 1970 "Christology of the Epistle to Diognetus". Vigiliae Christianae 24, no. 4: 280–89.
  • Lona, Horacio E. 2001 "An Diognet", Übersetzt und erklärt, ed. by N. Brox, K. Niederwimmer, H. E. Lona, F. R. Prostmeier, and J. Ulrich. Kommentar zu frühchristlichen Apologeten series, KfA, Vol. 8. Verlag Herder: Freiburg u.a. ISBN 3-451-27679-8
  • Nielsen, Charles Merritt 1970. "Epistle to Diognetus: Its Date and Relationship to Marcion". Anglican Theological Review 52, no. 2: 77–91.

Viungo vya nje

[hariri | hariri chanzo]
Wikiquote ina mkusanyiko wa dondoo kuhusu:
Makala hii kuhusu kitabu fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Barua kwa Diogneto kama Mwandishi wake, hadithi au matoleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.