Barry Barish
Mandhari
Barry Clark Barish (alizaliwa Januari 27, 1936) ni mwanafizikia wa majaribio nchini Marekani na mshindi wa Tuzo ya Nobel. Yeye ni Profesa Linde wa Fizikia, emeritus katika Taasisi ya Teknolojia ya California na mtaalamu mkuu wa mawimbi ya uvutano (gravitational waves). Alishiriki kupokea Tuzo ya Nobel ya Fizikia mwaka 2017 kwa mchango wake katika LIGO na uchunguzi wa mawimbi ya uvutano.[1][2][3]
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ "The Nobel Prize in Physics 2017". The Nobel Foundation. Oktoba 3, 2017. Iliwekwa mnamo Oktoba 3, 2017.
{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link) - ↑ Rincon, Paul; Amos, Jonathan (Oktoba 3, 2017). "Einstein's waves win Nobel Prize". BBC News. Iliwekwa mnamo Oktoba 3, 2017.
{{cite news}}: CS1 maint: date auto-translated (link) - ↑ Overbye, Dennis (Oktoba 3, 2017). "2017 Nobel Prize in Physics Awarded to LIGO Black Hole Researchers". The New York Times. Iliwekwa mnamo Oktoba 3, 2017.
{{cite news}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
| Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Barry Barish kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |