Barbara Davis
Mandhari
Barbara Davis (Alizaliwa 9 Oktoba, 1930) ni mfadhili nchini Marekani. Ni mjane wa mfanyabiashara Marvin Davis.[1] Alihitimu katika chuo cha Adelphi mwaka 1951.[2] Mwaka 1977, alianzisha Children's Diabetes Foundation[3]
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ "Barbara Davis". Forbes. Iliwekwa mnamo 2026-04-10.
- ↑ "Barbara Davis". Bloomberg. Iliwekwa mnamo 2026-04-10.
- ↑ "Barbara Davis". JDRF. Iliwekwa mnamo 2026-04-10.
| Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Barbara Davis kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |