Bodimama
Mandhari
(Elekezwa kutoka Bao kuu)

Bodimama (kwa Kiingereza: Motherboard) ni kati ya bodi ya saketi iliyochapishwa (kwa Kiingereza: printed circuit board - PCB) katika kompyuta nyingi na inawezesha mawasiliano katika mfumo wa vifaa vya elektroniki. Wakati mwingine hujulikana kama bodi kuu, mfumo wa bodi, bodi ya mantiki[1] na hata mobo tu.
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ Miller, Paul (2006-07-08). "Apple sneaks new logic board into whining MacBook Pros". Engadget. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2013-10-04. Iliwekwa mnamo 2013-10-02.
Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]- Motherboard Form Factors Ilihifadhiwa 9 Septemba 2019 kwenye Wayback Machine. - Makala toka Silverstone (Kiingereza)
- Motherboards katika Open Directory Project (Kiingereza)
- Orodha ya watengeneza bodimama (Kiingereza)
- Bodimama ni Nini? Ilihifadhiwa 27 Novemba 2005 kwenye Wayback Machine. (Kiingereza)
- The Making of a Motherboard: ECS Factory Tour Ilihifadhiwa 26 Februari 2007 kwenye Wayback Machine. (Kiingereza)
- The Making of a Motherboard: Gigabyte Factory Tour Ilihifadhiwa 18 Februari 2009 kwenye Wayback Machine. (Kiingereza)
- Front Panel I/O Connectivity Design Guide - v1.3 (pdf file) (Kiingereza)
- Motherboard form factor and uses (Kiingereza)
Makala bado ni mbegu. Unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuongezea habari. |