Bantu Group
Mandhari
Bantu Group kilikuwa kikosi cha jadi cha hamasa, ulinzi na usalama kilichokuwa kikiweka ulinzi kwa viongozi wa TANU wakati wa harakati za kudai uhuru wa Tanganyika [1].
Kikundi hicho kiliundwa mwaka 1955 [2]
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]Makala hii kuhusu mambo ya kihistoria bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Bantu Group kama enzi zake au matokeo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |