Nenda kwa yaliyomo

Bankui

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Bankui ni mkoa wa Burkina Faso. Mkoa huo una eneo la km² 19,722 na idadi ya wakazi mwaka 2024 ilikuwa 2,120,600[1].

Makao makuu yako mjini Dédougou.

Makala hii kuhusu maeneo ya Afrika bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Bankui kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.