Balangai Tea Estate
Mandhari
(Elekezwa kutoka Balangai estate)
Balangai Tea Estate ni kiwanda cha kusindika majani ya chai kilichopo kijiji cha Mpalalu, huko Bumbuli, Tanzania.
Kiwanda na mashamba yake kwa sasa vinamilikiwa na Kampuni ya MeTL yaani Mohammed Enterprises Ltd, eneo la Chai: ni hekta 212 na misitu ya asili zaidi ya hekta 2000.
Makala hii kuhusu mambo ya uchumi bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Balangai Tea Estate kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |