Balabala (mjusi)

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Balabala
Balabala kichwa-chekundu (Agama lionotus)
Balabala kichwa-chekundu (Agama lionotus)
Uainishaji wa kisayansi
Himaya: Animalia (Wanyama)
Faila: Chordata (Wanyama wenye ugwe wa neva mgongoni)
Nusufaila: Vertebrata (Wanyama wenye uti wa mgongo)
Ngeli ya juu: Tetrapoda (Wanyama wenye miguu minne)
Ngeli: Reptilia (Wanyama wenye damu baridi na magamba ngozini)
Oda: Squamata (Mijusi, mijusi-nyungunyungu na nyoka)
Nusuoda: Lacertilia (Mijusi)
Familia: Agamidae (Mijusi walio na mnasaba na balabala)
Nusufamilia: Agaminae (Mijusi wanaofanana na balabala)
Ngazi za chini

Jenasi 13:

Balabala ni spishi za mijusi za nusufamilia Agaminae katika familia Agamidae. Mijusi hawa ni wadogo hadi wakubwa kiasi na wana miguu yenye nguvu na mkia mrefu. Katika spishi nyingi madume wana rangi kali, kama nyekundu, machungwa na buluu, lakini majike wote wana rangi ya majivu, ya mchanga au kahawia. Wanatofautinana na mijusi wengine, isipokuwa vinyonga, kwa sababu meno yao yapo kwa ukingo wa nje wa mdomo wao badala ya ukingo wa ndani.

Spishi za Afrika ya Mashariki[hariri | hariri chanzo]

Spishi za sehemu nyingine za Afrika[hariri | hariri chanzo]

Picha[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mnyama fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Balabala (mjusi) kama uainishaji wake wa kibiolojia, maisha au uenezi wake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.