Nenda kwa yaliyomo

Bakr bin Laden

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Bakr bin Mohammed bin 'Awad bin Laden (alizaliwa 1946) ni mfanyabiashara bilionea nchini Saudia[1]. Yeye ni mwenyekiti wa zamani wa Saudi Binladin Group na alikuwa mwenye hisa kubwa katika kampuni hiyo kwa asilimia 23.58. Ni mtoto wa Mohammed bin Awad bin Laden na kaka wa nusu-damu wa Osama bin Laden.[2]

  1. ↑ "Saudi Binladin Group". Zawya.
  2. ↑ "Arabian Business".
Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Bakr bin Laden kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.