Equatoria ya Kati

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
(Elekezwa kutoka Bahr al Jabal)
Ramani ya Equatoria ya Kati.

Equatoria ya Kati ilikuwa jimbo la kusini mwa Sudan ambalo lilitwa "Bahr al Jabal" hadi mwaka 2006.

Kwa sasa ni jimbo la Sudan Kusini.

Mji mkuu ni Juba.