Bahati Ndingo
Mandhari
Bahati Keneth Ndingo (amezaliwa 7 Agosti 1985), ni mwanasiasa wa Tanzania ambaye alihudumu kama Mbunge wa CCM k wa Jimbo la Mbarali tangu Septemba 2023.[1][2] Alikuwa mbunge mwakilishi wa wanawake kupitia viti maalum kuanzia mwaka 2015 hadi 2023.
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ "Member of Parliament Profile". National Assembly of Tanzania. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2024-12-11. Iliwekwa mnamo 2025-09-02.
- ↑ "CCM yaibuka kidedea Mbarali, Bahati Ndingo atangazwa Mbunge mteule". 20 Septemba 2023.
{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
| Makala hii kuhusu kuhusu mwanasiasa wa Tanzania bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Bahati Ndingo kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |