Nenda kwa yaliyomo

Badr El Kaddouri

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Badr El Kaddouri (amezaliwa 31 Januari 1981) ni mwanasoka mstaafu wa Moroko, ambaye mara ya mwisho aliichezea Dynamo Kyiv inayoshiriki Ligi Kuu ya Ukrainia. Pia alikuwa mchezaji wa kimataifa wa Moroko. El Kaddouri alikuwa beki wa kushoto lakini pia angeweza kucheza kiungo wa kushoto ikihitajika.[1]

  1. Morocco - Record International Players
Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Badr El Kaddouri kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.