Nenda kwa yaliyomo

Baby do Brasil

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Baby do Brasil, pia anajulikana kama Baby Consuelo (alizaliwa kama Bernadete Dinorah de Carvalho Cidade tarehe 18 Julai 1952), ni mwimbaji na mtunzi wa nyimbo kutoka nchini Brazil.[1]


  1. ↑ [Baby do Brasil katika Allmusic Allmusic discography]
Makala hii kuhusu mwanamuziki fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Baby do Brasil kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.