Babak Karimi
Mandhari
Babak Karimi (alizaliwa 1960) ni mwigizaji na mhariri wa filamu kutoka Ucheki na Irani. Kwa uhusika wake katika A Separation, alishinda Tuzo ya Silver Bear kama Muigizaji Bora katika Tamasha la Filamu la Kimataifa la Berlin la 61 mwaka wa 2011.[1][2][3]
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ Brooks, Brian (19 Februari 2011). "Iran's "Separation" Wins Berlinale's Golden Bear". IndieWire. Iliwekwa mnamo 19 Februari 2011.
{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link) - ↑ "بابک کریمی: فیلم فرهادی یک الکتروشوک است برای سینمای ایران / کیارستمی و فرهادی از دو مسیر مختلف به یک هدف میرسند". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2012-04-11. Iliwekwa mnamo 2014-10-26.
- ↑ گفتگویی با بابک کریمی: جشنوارهٔ فجر از لحاظ کیفی انتظارات را برآورده نکرد