B.T. Connor Reserve
Mandhari
B.T. Connor Reserve ni uwanja wa mpira wa miguu nchini Australia. Ulizinduliwa kwenye mji wa Melbourne nchini Australia. Uwanja huu hutumiwa na timu ya Preston Lions FC na una uwezo wa kuhifadhi mashabiki 5,000.[1]
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ "BT Connor Reserve". Austadiums. Iliwekwa mnamo 15 Desemba 2024.
{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
| Makala hii kuhusu mambo ya michezo bado ni mbegu. Je, unajua kitu zaidi kuhusu B.T. Connor Reserve kama historia yake, uenezi au kanuni zake? Labda unaona katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine habari zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |