Bénédicte Simon
Mandhari
Bénédicte Simon (alizaliwa 2 Juni 1997) ni mchezaji wa mpira wa miguu wa wanawake wa kulipwa mwenye asili ya Ghana na Ufaransa.
Anacheza kama beki katika klabu ya mpira ya Servette inayoshiriki Ligi Kuu ya wanawake ya Uswisi (Swiss Women's Super League). Alizaliwa nchini Ufaransa, lakini anachezea timu ya taifa ya wanawake ya Ghana.[1]
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ "Bénédicte Simon". EN.PSG.FR (kwa Kiingereza). Paris Saint-Germain. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2020-10-13. Iliwekwa mnamo 2021-10-31.
| Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Bénédicte Simon kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |