Bálint Dömölki
Mandhari
Bálint Dömölki (11 Julai 1935 – 31 Agosti 2025) alikuwa mwanahisabati kutoka Hungaria. Alikuwa mwanachama wa Chuo cha Sayansi cha Hungaria, na mnamo mwaka 2003 alitunukiwa Tuzo ya John von Neumann.
Dömölki alifariki tarehe 31 Agosti 2025, huko Budapest, akiwa na umri wa miaka 90. [1][2]
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ "Dömölki Bálint". Neumann János Számítógéptudományi Társaság (kwa Hungarian). Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2025-08-05. Iliwekwa mnamo 31 Agosti 2025.
{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link) CS1 maint: unrecognized language (link) - ↑ Gábor, Képes (31 Agosti 2025). "Búcsú Dömölki Bálinttól (1935 – 2025)". Neumann János Számítógéptudományi Társaság (kwa Hungarian). Iliwekwa mnamo 31 Agosti 2025.
{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link) CS1 maint: unrecognized language (link)
| Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Bálint Dömölki kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |