Azume Adams
Mandhari
Azuma Adams (alizaliwa 28 Desemba, 1997) ni mchezaji wa mpira wa miguu wa wanawake wa kulipwa kutoka nchini Ghana anayecheza nafasi ya golikipa.
Amecheza mechi mbili katika timu ya taifa ya wanawake chini ya miaka 17 ya Ghana. Alikuwa sehemu ya kikosi cha timu hiyo katika michuano ya Kombe la Dunia la FIFA la wanawake chini ya miaka 17 ya mwaka 2012 na 2014, pamoja na michuano Kombe la Dunia la FIFA la wanawake chini ya miaka 20 ya mwaka 2016.[1][2][3][4]
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ "Ghana - A. Adams - Profile with news, career statistics and history - Women Soccerway". gh.women.soccerway.com. Iliwekwa mnamo 2019-09-14.
- ↑ "Azume Adams". worldfootball.net (kwa Kiingereza). Iliwekwa mnamo 2019-09-14.
- ↑ admin (2014-03-19). "Azume Adams Wins Player of the Match Award against Germany". Ghana Live TV (kwa American English). Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 31 Agosti 2021. Iliwekwa mnamo 2019-09-14.
{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link) CS1 maint: unfit URL (link) - ↑ "List of Players" (PDF). FIFA U-17 Women's World Cup Azerbaijan 2012. FIFA. 2012. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo (PDF) mnamo 2012-10-21. Iliwekwa mnamo 2019-09-14.
| Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Azume Adams kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |