Nenda kwa yaliyomo

Azra Akın

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Azra Akın (alizaliwa Desemba 8, 1981) ni mwigizaji, mwanadansi, mwanamitindo, na mrembo mwenye asili ya Uturuki na Uholanzi aliyetwaa taji la Miss World mwaka 2002 huko London tarehe 7 Desemba 2002. Anajulikana zaidi kwa mfululizo wa Yağmur Zamanı.[1][2]

  1. "Azra Akın Kimdir? - Azra Akın Hayatı ve Biyografisi". Haberler. Iliwekwa mnamo 14 Aprili 2023.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  2. "Birinci olmak beni değiştirmedi". Sabah News. Iliwekwa mnamo 2010-12-23.
Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Azra Akın kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.