Ayoka Olufunmilayo Adebambo
Mandhari
Ayoka Olufunmilayo Adebambo ni mwanasayansi wa Nigeria na profesa wa Uzalishaji wa Wanyama na Jenetikia pia ni mwanamke wa kwanza kuwa profesa na mkuu wa kwanza wa Idara ya Uzalishaji wa Wanyama na Jenetikia nchini Nigeria. Mnamo Septemba 2010, alitunukiwa daraja la Uanachama wa Heshima wa Chama cha Sayansi ya Wanyama cha Nigeria (ASAN). [1]
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ "Professor Olufunmilayo Ayoka Adebambo". AnGR NIGERIA (kwa American English). Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2021-04-10. Iliwekwa mnamo 2021-04-10.
| Makala hii kuhusu mwanasayansi fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Ayoka Olufunmilayo Adebambo kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |