Ayoade Olatunbosun-Alakija
Mandhari
Ayoade Olatunbosun-Alakija alikuwa mratibu mkuu wa masuala ya kibinadamu nchini Nigeria pia ni mwanaharakati wa haki za kijamii. Amekuwa akihimiza wanawake viongozi kuwa thabiti na wenye msimamo katika kushinda vikwazo vinavyozuia ushiriki wao katika mazungumzo makuu ya uongozi. [1][2][3]
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ "Dr. Ayouade Olantunbosun-Alakija". Women Leaders in Global Health (kwa American English). Iliwekwa mnamo 9 Novemba 2020.
{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link) - ↑ Potash, Shana "New fellowships bring African scientists to train at NIH". Global Health Matters. January/February 2019
- ↑ Vallotton, Kris (2013). Fashioned to Reign: Empowering Women to Fulfill Their Divine Destiny (kwa Kiingereza). Baker Books. ISBN 978-1-4412-6228-8.
| Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Ayoade Olatunbosun-Alakija kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |