Aymos

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Babili Amos Shili, maarufu kwa jina lake la sanaa Aymos ni mwimbaji na mtunzi wa nyimbo kutoka nchini Afrika Kusini. Anafahamika zaidi kwa wimbo wake wa "Emcimbini" ambao ulitayarishwa na Kabza De Small na DJ Maphorisa.

Maisha ya awali na kazi[hariri | hariri chanzo]

Aymos alizaliwa Tembisa, Johannesburg . Alianza kwa kuimba kanisani na alipokua katika shule ya upili, alianzisha kwaya yake mwenyewe. [1]

Mnamo 2020, alitoa albamu ya alioshirikiana na Mas Musiq iliyoitwa Shonamalanga . [2] Albamu hiyo iliteuliwa katika tuzo za muziki za Afrika Kusini kama albamu bora ya amapiano na kundi bora la mwaka. [3]

Mnamo Septemba 2021, alitoa albamu yake ya kwanza Yimi Lo . [4] Kwenye albamu aliwashirikisha wasanii mbali mbali kama vile Kabza De Small na DBN Gogo. [5]

Mnamo Mei 2022, alifanya alishikishwa kwenye African Lullabies Sehemu ya 2 ya albamu ya Platoon. [6]

Kazi za muziki[hariri | hariri chanzo]

  • Shonamalanga (with Mas Musiq) [7]
  • Yim Lo (2021)

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. "10 Things You Should Know About Aymos Shili". theyanos.co.za. Iliwekwa mnamo 7 December 2021.  Check date values in: |accessdate= (help)
  2. "Aymos Shili And Mas Musiq Are Back It With A Joint EP, ‘Shonamalanga’". zkhiphani.co.za. Iliwekwa mnamo 7 December 2021.  Check date values in: |accessdate= (help)
  3. "Congratulations to our Sony Music Artists on their #SAMA27 Nominations". allafrica.com. Iliwekwa mnamo 7 December 2021.  Check date values in: |accessdate= (help)
  4. "Aymos on his 'afro-yano' debut album Yimi Lo". News24. Iliwekwa mnamo 7 December 2021.  Check date values in: |accessdate= (help)
  5. "Out of his lockdown struggles, Aymos’s new album 'Yimi Lo' is born". iol.co.za. Iliwekwa mnamo 7 December 2021.  Check date values in: |accessdate= (help)
  6. Choge, Peter (2022-05-06). "Platoon releases second African lullabies album | Music In Africa". Music In Africa. Iliwekwa mnamo 2022-05-12. 
  7. "Aymos Shili & Mas Musiq Back It With A Joint EP, Shonamalanga.". Online Youth Magazine | Zkhiphani.com (kwa en-US). 2020-04-09. Iliwekwa mnamo 2021-12-25. 
Makala hii kuhusu mwanamuziki fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Aymos kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.