Aymen Benabderrahmane
Mandhari
Aymen Benabderrahmane (amezaliwa 7 Novemba 1960) ni mwanasiasa wa Algeria.[1]
Aliwahi kuhudumu kama Waziri Mkuu wa Algeria kuanzia 30 Juni 2021 hadi 11 Novemba 2023.
Pia aliwahi kuwa Waziri wa Fedha kuanzia Juni 2020 hadi Februari 2022.
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ Reuters. "Aymen Benabderrahmane named as Algeria's new Prime Minister". The National (kwa Kiingereza). Iliwekwa mnamo 2026-05-17.
{{cite web}}:|author=has generic name (help)
| Makala hii kuhusu mwanasiasa fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Aymen Benabderrahmane kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |