Axel Tuanzebe
Jump to navigation
Jump to search
Axel Tuanzebe (amezaliwa 14 Novemba 1997) ni mchezaji wa soka anayecheza kama mlinzi au beki katiki klabu ya Manchester United F.C. ya Uingereza.
Alizaliwa katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo lakini ana uraia wa Uingereza.
![]() |
Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Axel Tuanzebe kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |