Avril Lavigne

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Avril Ramona Lavigne (alizaliwa Septemba 27, 1984) ni raia wa Kanada mwimbaji na mtunzi wa nyimbo.

Ametoa albamu sita za studio na kupokea uteuzi mara nane kwenye tuzo za Grammy.

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

Musical notes.svg Makala hii kuhusu mwanamuziki fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Avril Lavigne kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.