Nenda kwa yaliyomo

Avelina Abang

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Inmaculada Avelina Abang Ndong Nzang (alizaliwa tarehe 8 Desemba 2003) ni mchezaji wa mpira wa miguu wa wanawake kutoka nchini Guinea ya Ikweta anayekipiga katika nafasi ya beki wa kulia. Anaichezea klabu ya ndani ya nchi 15 de Agosto, pamoja na timu ya taifa ya Guinea ya Ikweta.[1]

Abang aliorodheshwa katika nafasi ya 16 na jarida la Goal katika orodha ya NXGN 2022, inayotambua vipaji bora chipukizi duniani.

  1. Ndumu, Rubén (26 Novemba 2020). "El Malabo Kings femenino suma tres victorias consecutivas de su pretemporada en Camerún". Ahora EG (kwa Kihispania). Iliwekwa mnamo 18 Mei 2021.{{cite news}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Avelina Abang kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.