Nenda kwa yaliyomo

Aurelio Galli

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Aurelio Galli (26 Februari 186626 Machi 1929) alikuwa padri wa Kanisa Katoliki kutoka Italia na Kardinali-shemasi wa S. Angelo in Pescheria.

Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.