Aulakogenia

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search

Kwa Jeologia, aulakogenia ni mkono uliogoma wa mikutano mitatu ya ufa za boma za tektonika. Miungano mitatu chini ya boma za bara uanzisha mpasuko mara tatu ya boma hizi za bara. Boma za Bara zinapopasuka, moja wapo ya migongo hii mitatu hukoma kutapakaa ama kuacha kupasuka, na hivyo basi ufa ulioacha kupasuka, waitwa aulakogenia. na baadaye huwa grabenia iliojazwa na udongo kwa bara. Eneo kama hii, nimoja wapo ya eneo zinazo leta udhoofu wa mizizi ya mijengo.

Ugubaji wa Mississippi unaohusika na Eneo za mtetemeko wa arthi ambao inaitwa eneo za seismik za Madrid mpya, nimoja wapo ya mfano wa aulakogenia ambao unatokana na upasukaji wa bara ya karne ya kale, ilioitwa Rodinia. Kwa kusini magharibi ukingo wa Europa kwa (ufuo wa Ureno) kuna ufa beseni inayoitwa (Beseni ya Lusitania) ambao ilitokana pamoja na eneo ya Canada ya Grand banks, ambapo viwanja za mafuta za Hibernia ziko. Beseni za ufa zilizo achwa na kusonga wima na kutoa ufuo, kama beseni ya Lusitanian, nimoja wapo ya mifano ya beseni zilizo chini ya bahari za ufa za kale.

Science-symbol-2.svg Makala hii kuhusu mambo ya sayansi bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Aulakogenia kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.