Nenda kwa yaliyomo

Augustus Pablo

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Horace Swaby

Horace Swaby (21 Juni 1953 - 18 Mei 1999)[1] anajulikana kama Augustus Pablo, alikuwa mtayarishaji wa rekodi za reggae na dub kutoka Jamaika na akiwa na ujuzi wa kutumia vyombo vingi, akifanya kazi kuanzia miaka ya 1970 hadi kifo chake. Alieneza utumizi wa melodica (chombo wakati huo kilitumika sana Jamaika kufundisha muziki kwa watoto wa shule) katika muziki wa reggae. Albamu yake King Tubbys Meets Rockers Uptown (1976) mara nyingi huchukuliwa kuwa moja ya mifano muhimu ya miziki ya dub.[2][3]

  1. Thompson, Dave (2002) Reggae & Caribbean Music, Backbeat Books, ISBN 0-87930-655-6, p. 200-202
  2. " If you had to pick one album that best represents the pinnacle of the art of dub […] Few would fault you for ending up with [King Tubby Meets Rockers Uptown]." Rick Anderson, review of King Tubbys Meets Rockers Uptown for Allmusic.com, accessed 20 September 2013
  3. Larkin, Colin: The Virgin Encyclopedia of Reggae, 1998, Virgin Books, ISBN 0-7535-0242-9