Nenda kwa yaliyomo

Augustin Nsanze

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Augustin Nsanze (alizaliwa mwaka 1953) ni mwanahistoria, mwanasiasa, na mwanadiplomasia wa Burundi. Nsanze alikuwa Mshauri Mkuu wa Rais wa Burundi, Pierre Nkurunziza, Kabla ya nafasi hiyo, Nsanze alikuwa Waziri wa Mambo ya Nje wa Burundi kuanzia mwaka 2009 hadi 2011, Pia katika serikali ya kwanza ya Rais Nkurunziza, aliteuliwa kuwa Balozi wa Burundi katika Umoja wa Mataifa mjini New York. Kabla ya kuingia kwenye siasa, Nsanze alikuwa profesa na mtafiti katika Chuo Kikuu cha Hope Africa na Chuo Kikuu cha Burundi. [1][2]

Makala hii kuhusu mwanasiasa fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Augustin Nsanze kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.