Augustin Misago
Mandhari
Augustin Misago (1943 – 12 Machi 2012) alikuwa askofu wa Jimbo Katoliki la Gikongoro, Rwanda.
Alipadrishwa mwaka 1971 na kuteuliwa kuwa askofu mwaka 1992. Baada ya mauaji ya kimbari ya Rwanda, alishtakiwa kwa madai ya kusaidia serikali ya Rwanda kutekeleza uhalifu wa kivita katika miaka ya 1990, ambapo zaidi ya watu 800,000 wa jamii ya Watutsi waliuawa. Hata hivyo, alisafishwa jina na kuondolewa mashtaka mwaka 2000[1].
Askofu Misago alifariki dunia akiwa madarakani mnamo 12 Machi 2012.
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]![]() |
Makala hii bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari. |