August Alsina

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search
August Alsina akiwa Hamburg.

August Anthony Alsina Jr. (alizaliwa New Orleans, Septemba 3, 1992) ni mwimbaji wa hip-hop nchini Marekani.

Alitoa wimbo wake ya kwanza uitwao I Luv This Shit mwaka 2011.

Mnamo Agosti 2013 alisajiliwa kwa Def Jam Recordings. Nyimbo yake ya pili yake ya kwanza ya EP: Life Under the Gun ilitolewa na Def Jam mwezi huo.

Albamu yake ya kwanza ilitolewa mwaka wa 2014.

Musical notes.svg Makala hii kuhusu mwanamuziki fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu August Alsina kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.