Nenda kwa yaliyomo

Atlanta Primus

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Atlanta Reigan Primus (alizaliwa 21 Aprili 1997) ni mchezaji wa mpira wa miguu wa kitaaluma kutoka Jamaika ambaye ni kaptaina wa klabu ya Southampton inayoshiriki katika Women's Super League 2. Amezaliwa Uingereza, na anacheza kama kiungo wa kati katika timu ya taifa ya wanawake ya Jamaica.[1].[2]

  1. ↑ "Atlanta Primus appointed Women's captain". Southampton F.C. (kwa Kiingereza (Uingereza)). 2025-12-23. Iliwekwa mnamo 2025-12-23.
  2. ↑ Frith, Wilf (2020-09-05). "Atlanta Primus signs for London City". SheKicks (kwa Kiingereza (Uingereza)). Iliwekwa mnamo 2021-11-11.
Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Atlanta Primus kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.