Atiq Ahmed
Atiq Ahmed (pia huandikwa Atique Ahmed; 10 Agosti 1962 – 15 Aprili 2023) alikuwa jambazi sugu, mhalifu na mwanasiasa wa India.[1][2]
Alfanya kazi kama mbunge wa Bunge la India na pia mwanachama wa Bunge la Uttar Pradesh kupitia chama cha Samajwadi Party.[3][4]
Ahmed alikuwa na zaidi ya kesi 160 za jinai dhidi yake na aliwahi kugombea uchaguzi mara kadhaa akiwa gerezani.[5][6]
Kufikia Machi 2023, polisi wa Uttar Pradesh walikuwa wamekamata mali zenye thamani kubwa zilizokuwa zikihusishwa na Ahmed pamoja na familia yake.[7]
Mwaka 2019 alipatikana na hatia ya kuteka shahidi aliyekuwa ametoa ushahidi dhidi yake kuhusu mauaji ya mpinzani wake wa kisiasa Raju Pal mwaka 2005.[8]
Aliendelea kuwa gerezani hadi alipouawa kwa kupigwa risasi na watu watatu wenye silaha tarehe 15 Aprili 2023 alipokuwa akipelekwa hospitalini kwa uchunguzi wa afya ulioagizwa na mahakama.[9][10]
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ [(https://www.deccanherald.com/national/north-and-central/atiq-ahmed-brother-ashraf-shot-dead-in-uttar-pradesh-1210068.html) "Atiq Ahmed, brother Ashraf shot dead in Uttar Pradesh"]. Deccan Herald (kwa Kiingereza). 15 Aprili 2023. Iliwekwa mnamo 15 Aprili 2023.
{{cite web}}: Check|url=value (help) - ↑ [(https://www.bbc.com/news/world-asia-india-65291781) "Atiq Ahmed: The brazen murder of an Indian mafia don-turned-politician"]. BBC News (kwa Kiingereza (Uingereza)). 16 Aprili 2023. Iliwekwa mnamo 16 Aprili 2023.
{{cite news}}: Check|url=value (help) - ↑ [(https://timesofindia.indiatimes.com/city/ahmedabad/up-don-atique-ahmed-to-be-transferred-to-sabarmati-jail/articleshow/69065063.cms) "UP don Atique Ahmed to be transferred to Sabarmati jail"]. The Times of India. 27 Aprili 2019. Iliwekwa mnamo 27 Aprili 2019.
{{cite news}}: Check|url=value (help) - ↑ ["Uttar) Pradesh's first gangster Ateeq Ahmad is SP's poll candidate". India Today. Iliwekwa mnamo 16 Januari 2017.
{{cite news}}: Check|url=value (help) - ↑ Aditi Phadnis (12 Februari 2012). [(http://www.business-standard.com/article/economy-policy/Prayagraj-a-challenge-for-congress-bsp-112021200034_1.html) "Prayagraj challenge for Congress, BSP"]. Business Standard. Iliwekwa mnamo 20 Mei 2014.
{{cite news}}: Check|url=value (help) - ↑ [(https://timesofindia.indiatimes.com/india/160-cases-lodged-against-don-turned-politician-atiq-kin/articleshow/98401636.cms) "160 cases lodged against don-turned-politician Atiq, kin"]. The Times of India. 4 Machi 2023. Iliwekwa mnamo 16 Aprili 2023.
{{cite news}}: Check|url=value (help) - ↑ [(https://www.indiatoday.in/india/story/atiq-ahmed-wife-brother-criminal-history-properties-seized-umesh-pal-murder-2343430-2023-03-06) "160 criminal cases, illegal revenues worth crores: Report card of Atiq Ahmed's family"]. India Today (kwa Kiingereza). Iliwekwa mnamo 16 Aprili 2023.
{{cite news}}: Check|url=value (help) - ↑ [(https://apnews.com/article/india-former-lawmaker-shot-live-tv-78241a08883aa903d3cf7eb6edaa1108) "Former Indian lawmaker, brother fatally shot live on TV"]. AP News (kwa Kiingereza). 16 Aprili 2023. Iliwekwa mnamo 16 Aprili 2023.
{{cite web}}: Check|url=value (help) - ↑ [(https://www.indiatoday.in/india/story/why-gangster-atiq-ahmed-taken-from-sabramati-jail-uttar-pradesh-prayagraj-2351938-2023-03-27) "Why is Atiq Ahmed being taken from Sabarmati jail to UP?"]. India Today (kwa Kiingereza). 27 Machi 2023. Iliwekwa mnamo 27 Machi 2023.
{{cite web}}: Check|url=value (help)[dead link] - ↑ [(https://indianexpress.com/article/cities/lucknow/gangster-atiq-ahmeds-convoy-reaches-uttar-pradesh-8521488/) "Gangster Atiq Ahmed's convoy reaches Uttar Pradesh"]. The Indian Express (kwa Kiingereza). 27 Machi 2023. Iliwekwa mnamo 27 Machi 2023.
{{cite web}}: Check|url=value (help)
| Makala hii kuhusu mwanasiasa fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Atiq Ahmed kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |