Nenda kwa yaliyomo

Athanasiy Velyki

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Athanasiy Velyki, O.S.B.M. (kwa Kiukraini: Атанасій Григорій Великий; 5 Novemba 191824 Desemba 1982) alikuwa padre wa Wabasili kutoka Ukraine, mtaalamu wa historia, na mshiriki wa Jamii ya Sayansi ya Shevchenko tangu mwaka 1953.

Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.