Nenda kwa yaliyomo

Athaliah Molokomme

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Athaliah Molokomme

Athaliah Molokomme alikuwa Mwanasheria Mkuu wa Botswana hadi mwaka 2017 na ndiye mwanamke wa kwanza kushikilia nafasi hiyo. Molokomme amekuwa mstari wa mbele katika utetezi wa haki za wanawake kupitia mikutano, warsha, na semina duniani kote. Dk. Athaliah Molokomme aliteuliwa kama Mwakilishi wa Kudumu wa Botswana kwenye Umoja wa Mataifa mjini Geneva na Balozi wa Botswana nchini Uswisi mnamo Mei 2018.[1]

  1. "Molokomme, Athaliah Maoka Lesiba". Dictionary of African Biography (kwa Kiingereza). OUP USA. 2012. uk. 253. ISBN 9780195382075.
Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Athaliah Molokomme kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.