Atanasio Ndongo Miyone
Mandhari
Atanasio Ndongo Miyone (1928 - 26 Machi 1969) alikuwa mwanamuziki, mwandishi, na mwanasiasa wa Kifang, wa Guinea ya Ikweta.[1] Aliandika mashairi ya wimbo wa taifa wa Guinea ya Ikweta.[1] Aliuawa mwaka wa 1969 kufuatia mapinduzi yaliyofeli ya kumuondoa rais Francisco Macías Nguema.[2]
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- 1 2 Cusack, Igor (Desemba 2005). "African National Anthems: 'Beat the Drums, the Red Lion Has Roared'". Journal of African Cultural Studies. 17 (2): 235–251. doi:10.1080/13696850500448337. JSTOR 4141312. S2CID 163149597.
{{cite journal}}: CS1 maint: date auto-translated (link) - ↑ Baynham, Simon (Februari 1980). "Equatorial Guinea: The Terror and the Coup". The World Today. 36 (2): 65–71. JSTOR 40395170.
{{cite journal}}: CS1 maint: date auto-translated (link)