Nenda kwa yaliyomo

Aston Martin

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Aston Martin Lagonda Global Holdings PLC ni mtengenezaji wa magari ya kifahari ya michezo na grand tourer kutoka Uingereza. Ilianzishwa mwaka 1913 na Lionel Martin na Robert Bamford. Kuanzia 1947 chini ya David Brown, ilijulikana kwa magari ya gharama kubwa, hasa katika miaka ya 1950 na 1960, na kupata umaarufu zaidi kupitia James Bond aliyelitumia modeli DB5 kwenye filamu Goldfinger (1964). Magari yake yanachukuliwa kama alama ya utamaduni wa Uingereza[1].


Tanbihii

[hariri | hariri chanzo]
  1. "Night of Bond Glamour showcases UK's reputation for creativity". Government of the United Kingdom. 4 Oktoba 2016.{{cite news}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
Makala hii kuhusu mambo ya teknolojia bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu mada hiyo kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.