Assassin's Creed Odyssey

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search

Assassin's Creed Odyssey ni mchezo ulioandaliwa na kuchapishwa na Ubisoft Company. Uliandaliwa kwa maonesho ya Play station 3, Xbox pamoja na kompyuta. Ulitolewa rasmi mnamo mwaka 2018. Ni mchezo ambao huchezwa kwa lengo la kupoteza mawazo, kufurahisha na kwa burudani.

Mchezo unachezwa kutokana na mtazamo wa mazingira ya wazi ya ulimwengu, kuruhusu mchezaji kuingiliana na ulimwengu wa sasa kwa ajili ya burudani, pia unaweza ukacheza na mwenzako mtandaoni.

Football.svg Makala hii kuhusu mambo ya michezo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Assassin's Creed Odyssey kama historia yake, uenezi au kanuni zake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.